Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

KUAMRISHA MEMA NA KUKATAZA MABAYA

    1. Imepokewa kutoka kwa Abu Masoud Uqbah Bin Amri Al-Ansari Al-Badri (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema “Anayemshiria mwenzake kufanya njema basi naye ana fungu (faida) mfano wa fungu (faida) la mtendaji wa jema hilo”. (Muslim)                    
      
    2. Imepokewa kutoka kwa Abu Said Al-Khudri (ر ) kuwa alisema “Nilimsikia Mtume (ص ) akisema”, “Ye yote miongoni mwenu atakaye ona ovu basi alikataze na kulipinga kwa mkono wake, asipoweza (au asipofaulu) basi alikataze kwa ulimi wake (kwa kusema) na asipoweza basi alichukie moyoni mwake, na hiyo (ya tatu) ni Imani ya daraja ya chini sana.” (Muslim)

 

.

.

.

.

.


HOME

DOOR 

WINDOWS 

.