Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

ZAKAH NA SADAKA

1.  Imepokewa kutoka kwa Jarir Bin Abdallah (R.A.A.) kuwa alisema, “Nilimbai Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) – (nilimpa ahadi) kuwa nitasimamisha swala na kutoa zaka na kumnasihi kila Muislam”. (Bukhari na Muslim)

2.  Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (R.A.A) kuwa Mtume (S.A.W) amesema, “Kutoa sadaka haipunguzi chochote katika mali na hakuna mtu aliyesamehe isipokuwa Mwenyezi Mungu alimzidishia utukufu, na hapana mtu ye yote alofanya unyenyekevu kwa ajili ya Mwenyzi Mungu, isipokuwa Mwenyezi Mungu alipeleka juu cheo chake”. (Muslim)

3.  Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (R.A.A) kuwa Mtume (S.A.W) amesema, “Neno zuri (kwa mwenzako) pia ni sadaka”. (Bukhari na Muslim)

 


 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS