WELCOME TO |
||
MADRASA AL-HIDAYA |
||
MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE |
HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)
UMUHIMU WA ELIMU
1. Imepokewa kutoka kwa Anas (ر ) kuwa akisema, Mtume (ص ) amesema, “Mwenye kutoka (katika nyumba yake au mji wake) kwa ajili ya kutafuta elimu basi mtu huyo huwa yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu mpaka arudi”. (Tirmidhi)
2. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (ر ), kuwa Mtume (ص ) amesema, “Mtu akifa, matendo yake yote yanakatika isipokuwa matatu (1) sakada yakuendelea au (2) elimu inayotumiwa kwa manufaa mema au (3) mtoto mwema anaye muombea mema”. (Muslim)