Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

HAKI ZA JIRANI

  1. Imepokewa kutoka kwa Ibn Umar (ر ) na Bi Aisha (ر ) kuwa walisema Mtume (ص ) amesema “Malaika Jibril aliendelea kuniusia haki za jirani hata mikadhani kwamba jirani atapata haki za kurithi”. (Bukhari na Muslim)
  1. Imepokewa kutoka kwa Bi Aisha (ر ) kuwa alimuuliza Mtume (ص ) “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mimi nina majirani wawili, jee ni nani kati yao nimpe tunu”. Akasema, “mpe ambaye mlango wake uko karibu sana na mlango wako”. (Bukhari)
  1. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema “Enyi wanawake wa Kiislamu, msidharau mmoja wenu kumpelekea jirani yake chochote kidogo japokuwa ni muundi wa mbuzi”. (Bukhari na Muslim)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS