Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

HAKI ZA BWANA NA BIBI

  1. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (ر ) kuwa Mtume (ص ) amesema, “Mwanaume wa kiislamu asimgeukie (kwa kumchukia) mwanamke wa kiislamu kwani kama kuna tabia haimpendezi iko nyingine itampendeza kutoka kwake”.  (Muslim)
  1. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (ر ) kuwa Mtume (ص ) amesema, “Si halali kwa mwanamke kufunga (Saumu za suna) na mume wake yuko nyumbani ila kwa idhini ya huyo mume. Na wala asimkubalie mtu kuingia nyumbani kwa huyo mume ila kwa idhini yake”.  (Bukhari na Muslim)
  1. Imepokewa kutoka kwa Ummi Salamah (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema “Mke yeyote anayekufa na mumewe yu radhi naye basi ataingia peponi.” (Tirmidhi)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS