Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

KUWALEA WASICHANA NA YATIMA

  1. Imepokewa kutoka kwa Anas (ر ) kuwa Mtume (ص ) amesema, “Atakayewalea wasichana wawili mpaka wakawa wanawali basi siku ya kiyama mimi na yeye tutakuwa kama vidole hivi viwili”. Na hapo akaviambatanisha vidole hivo viwili’ (Ina mana ya kuwa bega kwa bega). (Muslim)        
                                                                          
  2. Imepokewa kutoka kwa Sahl Bin S‘ad (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema, “Mimi na mlezi wa yatima (mwenye kumtunza) tuta kuwa peponi pamoja kama hivi”, akaashiria kwa kidole chake cha shahada na cha kati na akaonesha nafasi baina ya vidole viwili hivo’ (yaani vile atakao kuwa karibu na Mtume ص ). (Bukhari)
.

.

.

.

.


HOME

DOOR 

WINDOWS 

.