Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

HAKI

1. Imepokewa kutoka kwa Abu Said Al-Khudri ( ر ) kuwa Mtume ( ص ) amesema “Jihadi (kupigana kwa ajili ya Mungu) iliyo bora zaidi ni kusema neno la ukweli na uadilifu mbele ya kiongozi dhalimu”. (Abu Dawud na Tirmidhi)

2. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah ( ر ) kuwa Mtume ( ص ) amesema “Hakika, kila mtu atapewa haki yake siku ya kiyama, hata mbuzi asiye na pembe atalipwa haki yake kutokana na kosa aliyotendewa na mbuzi aliye na pembe”. (Muslim)

 

 

 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS