Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

 

FIKRA KUHUSU MAISHA

1. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (ر) kuwa alisema Mtume (ص) amesema “Miongoni mwa ubora na uzuri wa uislamu wa mtu ni kuyaachilia mbali mambo ambayo yasiyomhusu na yasiyokuwa na faida naye hapa” (ulimwenguni na kesho akhera). (Tirmidhi)

2. Imepokewa kutoka kwa Bin Umar (ر) kuwa alisema, “Mtume (ص) alinishika mabega na kunambia, “Ishi hapa duniani kama kwamba wewe ni mgeni au mpita njia.” (Bukhari)

 

 

 

 

 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS